Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Majaliwa Akutana Na Viongozi Wizara Ya Ardhi Ya Japan Pamoja Na Shirikisho La Wawekezaji (Jaida)

  • 5
Scroll Down To Discover

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa Mei 27, 2025, alikutana na Waziri wa Ardhi, Miundombinu, Usafirishaji na Utalii wa Japan, Mheshimiwa Hiromasa Nakano kwenye Makao Mkuu ya Wizara hiyo Tokyo Japan

Aidha, Mheshimiwa Majaliwa alifanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Wawekezaji katika Sekta ya Miundombinu la Japan (JAIDA) Miyamoto Yoichi pamoja na ujumbe wake ambapo walijadiliana kuhusu masuala mbalimbali ya uwekezaji kwenye sekta za Ardhi, Miundombinu pamoja na Usafirishaji.

 



Prev Post Majaliwa Akutana Na Viongozi Wizara Ya Ardhi Ya Japan Pamoja Na Shirikisho La Wawekezaji (Jaida)
Next Post Majaliwa Akutana Na Viongozi Wizara Ya Ardhi Ya Japan Pamoja Na Shirikisho La Wawekezaji (Jaida)
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook