
NAFASI 13 Za Kazi Mufindi Paper, Kasulu Sugar Project
NAFASI 13 Za Kazi Mufindi Paper, Kasulu Sugar Project
Mufindi Paper (Kasulu Sugar Project) inaajiri kwa nafasi mbalimbali zikiwemowapima ardhi (mdogo na mkuu), na Mhandisi wa Afya na Usalama.
Maombi yanapaswa kutumwa kwa hrs@kasulusugar.com, na tarehe ya mwisho ya mawasilisho ni tarehe 31 Julai 2025.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!