Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Samia Amteua Dkt. Mwigulu Nchemba Kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania – Video

  • 18
Scroll Down To Discover

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu akitangaza Jina la Waziri Mkuu aliyeteuliwa na Mhe. Rais baada ya kupokea ujumbe maalum kutoka kwa Mpambe wa Rais (ADC) Brigedia Jenerali Nyamburi Mashauri kuhusu uteuzi huo Bungeni leo Novemba 13, 2025.

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Jina la Mbunge huyo wa Iramba Magharibi limewasilishwa Bungeni kwa ajili ya Waheshimiwa Wabunge kumthibitisha kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.

 



Prev Post Waziri Mkuu Mwigulu: Serikali Itatekeleza Miradi Inayogusa Maisha ya Wananchi -Video
Next Post TTCL Yazindua Huduma Mpya ya Mawasiliano Ijulikanayo Kama T-Fibre Triple Hub
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook